LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 17, 2020

WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 147


Idadi ya wagonjwa wa Corona Tanzania imeongezeka nakufikia  147 baada ya wagonjwa wapya 53 kukutwa na virusi hivyo .

Akiongea na vyombo vya habari leo Ijumaa April 17,2020, Waziri  wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wote hao ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam,10 Zanzibar,Kilimanjaro 1,Mwanza 1,Pwani 1,Lindi 1,na Kagera 1


Waziri Ummy amesema mgonjwa mmoja amefariki dunia na hivyo kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufika 05  na waliopona ni 11. 



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages