Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya sh. 4, 000,000,000/= kutoka kwa Meneja Mkazi (Country Manager) wa Kampuni ya Madini ya Barric - Twiga Minerals, Hilaire Diarra (kushoto) na Msaidizi wake, Neema Ndossi (kulia) ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Wa pili kushoto ni Waziri wa madini, Doto Biteko na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Apr 8, 2020
MAJALIWA APOKEA MISAADA KWA AJILI YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA
Tags
Corona#
featured#
Share This
About Bashir Nkoromo
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇