Picha ya Mlima Kilimanjaro ambayo imeonekana 'kutrend' mitandaoni, imepigwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ikionesha muonekano wa juu wa Mlima Kilimanjaro.
Dkt. Kikwete amesema kuwa picha hiyo ameipiga wakati akiwa njiani akitokea Nairobi kwenda Dar es Salaam, saa chache baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili nchini Kenya, Daniel Arap Moi.
Feb 13, 2020
Home
featured
habari picha
MUONEKANO WA PICHA MLIMA KILIMANJARO ILIYOPIGWA NA DKT. JAKAYA KIKWETE YAWA GUMZO
MUONEKANO WA PICHA MLIMA KILIMANJARO ILIYOPIGWA NA DKT. JAKAYA KIKWETE YAWA GUMZO
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇