Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo (TIB), Lilian Mbassy akizungumza na waandhishi wa habari katika Idara ya Habari - MAELEZO jijini Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa benki hiyo kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇