LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 11, 2025

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT DODOMA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa ufunguo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye ni Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. Sima Constantine Sima kama ishara ya ukaribisho kwa wajumbe wa ALAT Jijini Dodoma kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akiwa akishiriki mkutano huo. NMB imeudhamini mkutano huo kwa sh. mil. 170.,

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages