Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele na
Mjumbe wa Tume Mhe. Magdalena Rwebangira leo
wametembelea na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya
watendaji wa uboreshaji wa jimbo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuhusu
uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kushuhudia mwenendo wa mafunzo
hayo ambayo ni maandalizi ya zoeazi la uboreshaji wa Daftari unaotaraji kuanza
Machi 17 hadi 23, 2025. (Picha na INEC).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇