Mkufunzi wa Urubani mwanamke wa kwanza Tanzania, Ashrafu Ramadhani wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), akielezea mbele ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dodoma Machi 2025, jinsi alivyopitia magumu alipoamua kujifunza urubani na hatimaye ukufunzi wa urubani
Alielezea hayo baada Mkuu wa Chuo cha NIT, Mhandisi, Dkt. Prosper Mgaya kumaliza kuzungumza na na vyombo vya habari kueleza mafanikio na mwelekeo wa chuo hicho ndani ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇