Wafanyakazi wa Treni ya Kifahari
ya Rovol Rail wakishusha mizigo mara baada ya treni hiyo kuwasili
katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Dar es
Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60 kutoka
nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende
kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es
Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya
kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Mtaalam wa masuala ya Kihitoria na
Utamaduni wa Afrika kutoka Afrika Kusini , Nicholas Schofield
akifurahia jambo baada ya kuwasili katika Stesheni ya Treni TAZARA
Jijini Dar es Salaam akiwa na treni ya Kifahari Rovol Rail( Pride of
Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 ikiwa na watalii Zaidi ya 60
kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao
wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar
es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya
kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Watalii wakishuka kwenye treni ya
Kifahari Rovol Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020
katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam ikiwa na watalii
Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na
Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini
ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro,
hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Watalii wakienda kupanda usafiri
wa kuwapeleka hotelini mara baada ya kushuka kwenye treni ya Kifahari
Rovol Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 katika
Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam ikiwa na watalii Zaidi ya
60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao
wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar
es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya
kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Mwimbaji wa Bendi ya Polisi
akicheza na mmoja wa wafanyakazi wa treni ya kifahari ya Rovols (Pride
of Afrika), mara baada ya kuwasili kwa treni hiyo Jijini Dar es Salaam
ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi
mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii
katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Dar es Salaam, Mji wa
Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni
katika safari tano kwa mwaka 2020.
Watalii wakicheza na Bendi ya
Polisi mara baada ya kuwasili kwa treni ya kifahari ya Rovols (Pride of
Africa), Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na
watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na
Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini
ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na
Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa
mwaka 2020.
Bendi ya Polisi ikitoa Burudani
kwa Watalii Zaidi ya 6O (hawapo pichani) waliowasili na Treni ya
kifahari ya Rovols (Pride of Afrika), watalii hao watatembelea maeneo
mbalimbali ya kitalii hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa
Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni
katika safari tano kwa mwaka 2020.
Watalii wakipiga picha waimbaji wa
Bendi Polisi mara baada ya kuwasili kwa treni ya kifahari ya Rovols
(Pride of Africa), Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa
na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani
na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini
ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na
Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa
mwaka 2020.
Treni ya Kifahari ya Rovols Rail
(Pride of Africa) ikiwa imepaki katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es
Salaam mara baada ya kuwashusha watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi
mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza waliowasili na Treni
hiyo ikitokea Afrika ya Kusini, watalii hao watatembelea katika meneo
mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar,
Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari
tano kwa mwaka 2020.
Treni ya Kifahari ya Rovol Rail
ikiwasili katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini
Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60
kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingireza ambao
wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar
es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya
kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Mtalii akipiga picha Bendi Polisi
waliokuwa wakitoa burudani kwa watalii waliowasili na Treni ya Kifahari
ya Rovols Rail (Pride of Africa), katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar
es Salaam mara baada ya kuwashusha watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi
mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza waliowasili na Treni
hiyo ikitokea Afrika ya Kusini, watalii hao watatembelea katika meneo
mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar,
Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari
tano kwa mwaka 2020.
(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇