RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akijumuika na Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ
vilivyoshirika Gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar lililofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar, 12,January
2020, katika chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Polisi
ziwani Zanzibar (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Balozi Seiuf Ali Iddi.
ASKARI wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ , wakijumuika katika chakula
maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya ziwani Polisi
Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu,
akizungumza kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa neno la shukrani kwa Askari
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Gwaride Maalum la
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika katika
Uwanja wa Amaan Zanzibar 12,January 2020. Hafla hiyo imefanyika katika
viwanja vya Ziwani Polisi Zanzibar
RAIS wac
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiitikia dua ikisoma na Askari wa Kikosi cha FFU. Ndg.Issa Khamis
Juma,(hayupo pichani) (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki
Zanzibar.Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.
Haji Omar Kheri.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali
Iddi, alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar kuhudhuria
hafla ya chakula Maalum alichowaandalia Askari wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama walivyoshiriki Gwaride la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi
ya Zanzibar, lililofanyika 12, January 2020 katika viwanja vya
Amaan,(kulia kwa Makamu ) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,
Mhe.Zuberi Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman Makungu na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe
Issa Haji Gavu.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekjiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia
Jenerali Fadhi Omar Nondo, alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani
Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula maalum alichowaandalia Askari wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ, walioshiriki katika Gwaride
Maalum la maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar lililofanyika
Uwanja wa Amaan Zanzibar. 12, January 2020, hafla hiyo imefanyika
viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa amersimama na viongozi wa meza wakati ukipingwa wimbo wa Taifa
alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar, (kulia kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu
Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya
Mzee na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Bridegi ya Nyuki Zanzibar Brigedia
Jenerali Fadhil Omar Nondo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri.
MAOFISA wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa
Taifa baada ya kuwasili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika hafla
maalum ya chakula iliofanyika katika viwanja vya Polisi ziwani
Zanzibar.
MAKAMANDA wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMZ na SMT walioshiriki katika gwaride
Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa
wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa, katika hafla ya chakula
Maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika viwanja vya
Polisai Ziwani Zanzibar
MKUU wa Brigedi
ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, akizungumza
wakati wa hafla Maalum ya chakula kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo
picha) kwa Askari walioshiriki Gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56
ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar
12,January 2020.
ASKARI wa
Kikosi cha FFU Issa Khamis Juma akisoma dua baada ya kumalizika kwa
hafla ya chakula Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kwa
Askari walioshiriki Gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.lililofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiagana na Mkuu wa Bridegi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil
Omar Nondo, baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula maalum
alichowaandalia Askari Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Amaan 12,January 2020, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Polisi
Ziwani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇