Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini, Prof. Muhongo mmoja wa waratibu wa kongamano hilo.
TAREHE:
Jumapili, 23.02.2020
MUDA:
Saa 5 Asubuhi
MAHALI:
Ukumbi wa Open University, Musoma au Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa, Musoma
(kutegemeana na wingi wa watu)
WALENGWA:
* Wana-Mara wakiwemo wasomi, wazazi, walezi na baadhi ya wanafunzi (Shule za Msingi na Sekondari)
* Wawakilishi wa kutosha wa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari
* Viongozi wa Sekta ya Elimu Mkoani, Wilaya zote na Halmashauri zote
* RC (Mwenyeji wetu), RAS, DCs wote na Timu zao husika.
* WADAU wengine wa ELIMU watakaokaribishwa na Mkoa wakiwemo wenye UZOEFU mzuri.
KUJIANDIKISHA USHIRIKI WAKO
Wasiliana na:
REO, Mara
Simu: 0756 087 491
Tarehe ya mwisho ya kujiandikisha kushiriki: 20.2.2020
USAFIRI & MALAZI
*Kujitegemea
CHAKULA CHA MCHANA CHA KONGAMANO
*Prof S Muhongo na wanaopenda kuchangia wawasiliane na REO Mara.
Wenzetu wanasemaje kuhusu ELIMU?
Abraham Lincoln (1809-1865)
"Upon
the subject of EDUCATION ... I can only say that I view it as the MOST
IMPORTANT subject which we as a people may be engaged in."
Albert Einstein (1879-1955)
"Anyone who has never made a mistake has never tried anything new."
KARIBUNI TUINUE UBORA WA ELIMU MKOANI MARA
Sospeter Muhongo
11.1.2020
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇