Rais Dkt. John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Pretoria nchini Afrika Kusini leo Mei 26, 2019 ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo na kabla hajateua Baraza lake la Mawaziri.
Rais Dkt. John Magufuli akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Cyril
Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Pretoria Mei 26, 2019 ikiwa ni
siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo na kabla hajateua Baraza
lake la Mawaziri.
Dkt. Magufuli akimpa zawadi ya picha ya wanyama Rais Cyril Ramaphosa baada ya kuwasili katika Ikulu
ya Pretoria nchini Afrika Kusini leo Mei 26, 2019 ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa
kuwa Rais wa Nchi hiyo na kabla hajateua Baraza lake la Mawaziri.
Dkt. Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kamusi ya Kiswahili na Kingereza pamoja na
Vitabu vya Kiswahili Rais Ramaphosa kwaajili ya kujifunza lugha ya Kiswahili
leo Mei 26, 2019.
Rais Ramaphosa akisikiliza maelezo yaliokuwa
yakitolewa na Waziriwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba
Kabudi kuhusu vitabu hivyo vya Kiswahili leo Mei 26, 2019.
Dkt. Magufuli akimpongeza Ramaphosa mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu ya Pretoria nchini Afrika Kusini leo Mei 26, 2019.
Dkt. Magufuli akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais Ramaphosa wakati akizungumza
na wanahabari Pretoria nchini Afrika Kusini leo Mei 26, 2019
Dkt. Magufuli akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais Ramaphosa wakifurahia jambo
katika mazungumzo yao Pretoria nchini Afrika Kusini leo Mei 26, 2019
Dkt. Magufuli
akiagana na Rais Ramaphosa mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao leo Mei 26, 2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇