IDEO: DC Muro atamba mbele ya wana Arumeru, awapa maneno kuntu Muungwana Blog 1 Saturday, February 16, 2019 Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema kupanga ni kuchagua na haiwezekani Rais afanye mambo ya maendeleo na halafu wengi hawaungi mkono Jihudi zake hivyo kama watu hawatatoa kura kwa hiari atazichukua kwa Nguvu.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema kupanga ni kuchagua na haiwezekani Rais afanye mambo ya maendeleo na halafu wengi hawaungi mkono Jihudi zake hivyo kama watu hawatatoa kura kwa hiari atazichukua kwa Nguvu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇