Serikali ya Uganda imeshauriwa kuongeza juhudi kwa ajili ya ufundishaji lugha ya Kiswahili kwa madaraja yote ya elimu nchini humo.
Hayo yamefikiwa katika mkutano ulioitishwa kwa lengo la kujadili njia za kukuza lugha ya Kiswahili kilichofanyika mjini Kampala, ambapo washiriki wameitaka serikali kutekeleza kivitendo utekelezwaji wa mipango yote katika uwanja huo.
Hii ni baada ya kubainika kwamba lugha hiyo inazidi kukubalika na kukita mizizi katika nchi mbalimbali huku ikiwa ni yenye kuvutia.
Tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Kampala, Kigozi Ismail kwa taarifa kamili……………/
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇