Apr 16, 2025

ASKOFU CHANDE ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTOA MSAADA KWA WATOTO NJITI


 Askofu Evance Chande wa Kanisa la Assemblies of God (KAG) la Ipagala jijini Dodoma, amewaongoza waumini wa kanisa hilo kutoa msaada wa maziwa kwa watoto wanaozaliwa njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma Aprili 15, 2025.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages