Mar 12, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WASANII NA WABUNIFU ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Msanii Mkongwe Zanzibar wa michezo ya kuigiza Bi.Mwema Khamis ( maarufu Bi Njiwa ) baada ya hafla ya kumalizika kwa  mkutano wake na Wasanii na Wabunifu Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni  Jijini Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni na Sanaa.Mhe. Chembeni Kheri.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages