Mar 11, 2020

MKUU WA MKOA KATAVI KUONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI

   Mkuu wa Mkoa wa Katavi MHE. Juma Homera anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika kuongoza Matembezi ya Uhamsishaji Machi 14, 2020 kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno  Duniani, 2020 yatakayo anzia na kumalizikia: Viwanja vya  Shule ya Msingi Kashato Mpanda Katavi kuanzia 12.45 ASubuhi 12.00 jioni. 

Ambapo Maadhimisho hayo yatafanyika Machi 20, 2020 Kitaifa Mkoani humo na Mgeni Rasmi ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu (MB)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages