Mwili wa Salome Zakaria (aliekuwa mfanyakazi wa ndani) kabla ya kufariki baada kupigwa na kufungiwa ndani kwa siku mbili kwa madai ya kuiba Elfu hamsini, umeagwa Arusha na kusafirishwa kwenda Itigi, Singida kwa ajili ya mazishi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema tayari Polisi wameshachukua hatua na anaedaiwa kumuua atafikishwa Mahakamani huku akitoa agizo kwa uongozi wa Hospitali ya Mount Meru kurudisha fedha zilizochukuliwa na Hospitali hiyo kwa ajili ya gharama za mochwari.
Mar 13, 2020
Home
featured
habari picha
MKUU WA MKOA ARUSHA ATOA AGIZO WAKATI WAKUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA NDANI
MKUU WA MKOA ARUSHA ATOA AGIZO WAKATI WAKUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA NDANI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇