Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam ndugu Abass Mtemvu ameongoza Kikao maalum cha Kamati ya Siasa mkoa wa Dar es Salaam, kilichofanyoka Ofisini kwake, leo Septemba 24, 2026.
Pamoja na mambo mengine, kikao kimejadili mambo mbalimbali na kuyatolea maamuzi kwa maslahi mapana ya Chama.
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE

.jpg)







No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇