Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Cde Abasi Mtemvu (MNEC) leo tarehe 24 Spetemba 2026, ameongoza kikao Maalum cha Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM Mkoa.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wa Kamati hiyo ambao ni Katibu wa CCM Mkoa Stanley Mkandawire, Juma Simba Gadafy ambaye ni Mjumbe wa NEC Taifa, na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa Mwenyekiti wa Khadija Ally Said.
Pamoja na mambo mengine, kikao kimejadili mambo mbalimbali kwa kina kwa maslahi mapana ya Chama Cha Mapinduzi na kuyatolea mapendekezo kwa vikao vinavyofuata
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Cde Abass Mtemvu akishauriana na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Syanley Mkandawire ( kulia),wanzoni mwa kikao Maalum cha Kamati ya Usalama na Maadili ya CCM Mkoa kilichofanyika, leo jijini Dar es Salaam.Cde Mkandawire akimkaribisha Mwenyekiti Mtemvu kuongoza kikao hicho.












No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇