Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es salaam Cde Stanley Mkandawire (MNEC) ameongoza kikao maalum cha Sekretarieti ya CCM mkoa huo, kilichofanyika Ofisi za CCM mkoa, jana, Septemba 23, 2026.
Pamoja na mambo mengine, kikao kilijadili mambo mbalimbali ya Chama na kuyatolea mapendekezo kwa ajili ya vikao vinavyofuata.







No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇