LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 27, 2026

MWANYIKA, CHONGOLO LAO MOJA KUWAKOMBOA WAKULIMA WA CHAI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deo Mwanyika akiwasilisha bungeni Dodoma Agosti 27, 2026, maoni ya kamati hiyo kuhusu muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria za kilimo likiwemo cha zao la chai wa mwaka 2026, huku Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo akijibu hoja wakati wa kuipitisha sheria hiyo itakayoridhiwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa sheria kamili.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages