LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 27, 2026

NDEJEMBI ATEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Chamwino Deogratius Ndejembi, ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Makamu wa Rais.

Uteuzi huo umetangazwa leo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Asha Rose Migiro wakati akitangaza maazimio ya Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dar es Salaam, mapema Jumatano tarehe 26 Agosti 2026 na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages