Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Juni 11, 2026 kwamba Serikali imefikia wapi mpango wa kutenga fedha za ujenzi wa barabara katika vijiji vilivyopo majimbo ya mjini ilivyo Jimbo la Njombe Mjini? na kujibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Ndugange.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇