LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2026

MATUKIO WAKATI WA UWASILISHAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akionesha mkba wa nyaraka za Bajeti alipowasili kwenye viunga vya Bunge Dodoma Juni 11, 2026, tayari kuwasilisha bungeni kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akipitia kitabu cha bajeti.
Waziri wa Fedha akiingia bungeni kuwasilisha hotuba hiyo.

Baadhi ya viongozi wakiwa Jukwaa la Spika.


Viongozi akisoma kitabu cha Bajeti. Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Mjaliwa, Spika mstaafu,Anne Makinda, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Steven Wasira na Mchungaji Boniface Mwamposa.

Wabunge wakifuatilia hotuba ya Bajeti.
Baadhi ya watendaji wa serikali.
Baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini wakifuatilia hotuba hiyo ya Bajeti.



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203






 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages