Mbunge wa Kyela, Baraka Mwamengo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kijengwe kiwanda cha kuongeza thamani zao la kokoa wilayani Kyela ili kulinda bei ya zao hilo ambalo kwa hivi sasa imeporomoka kutoka sh.. 32, OOO hadi 7,020 kwa kilo.
Pamoja na mambo mengine, Mwamengo ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 14, 2026. Your Ad Spot
Apr 14, 2026
MWAMENGO AOMBA MSAADA WA HARAKA KUPONYA MAKOVU YA ATHARI YA MVUA KYELA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇