LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 20, 2026

MSIGWA AKUTANA NAKUZUNGUMZA NA MACHUMU LEO

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bakari Machumu, akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages