SALAMU ZA EID EL-FITRI
Nawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.
Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili kuimarisha maadili na mshikamano katika jamii zetu.
Tusherehekee kwa utulivu, tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwa kuwa amani ndio msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu.
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
MaendeleoEndelevu

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇