LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 16, 2026

HAKUTAKUWA NA UHABA WA WAKUFUNZI VETA - CPA KASORE

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mji Serikali Mtumba jijini Dodoma Februari16, 2026, kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa siku 100 wa ahadi zilizotolewa na Rais Samia alipoapishwa Novemba 3, 2025.

Moja ya mafanikio hayo ni kuiwezesha VETA kuwa na wakufunzi 4000 ifikapo mwaka 2028.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore

Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages