Mbunge wa Ilemela, Kafiti Kafiti amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua Tanzania hivyo kuvutia wawekezaji wengi kuja nchini na kulifanya Taifa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo. Kwa upande wa sekta ya uvuvi ameitendelea haki Ilemela.
Pamoja na mambo mengine, Kafiti ametoa pongezi hizo leo Januari 29, 2026, bungeni Dodoma alipokuwa akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa wakati akilifungua Bunge Novemba 14, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇