LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 29, 2026

MWANYIKA AIBANA SAERIKALI BUNGENI UTOAJI WA RUZUKU YA DAWA ZA ZAO LA PARACHICHI

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Dodoma leo Januari 29, 2026 kwamba ina mpango gani wa kutoa ruzuku ya dawa katika zao la Parachichi nchini? Amehoji hilo kwa Waziri wa Kilimo, wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni ambapo alijibiwa kama ifuatavyo na Naibu Waziri wa wizara hiyo, David Silinde....



 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA = 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages