LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 6, 2026

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI, MKUU WA MAJESHI IKULU NDOGO ZANZIBAR



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu - Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.



No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages