LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 6, 2025

MBUNGE MATIKO ATOA LA MOYONI KWA VIJANA

Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko amewataka watanzania kuacha kudanganyika kushiriki matendo maovu ama vurugu bali waungane kulijenga Taifa. Aidha, Matiko ametoa neno la pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri aliyoitoa kwa Taifa kupitia mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Desemba 2, 2025 kwenye Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam. Ameyasema hayo wakati wa Kongamano la Wanawake Tanzania lililokuwa na kauli mbiu ya Mama ni Amani kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 4, 2025.





 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages