LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2025

WABUNGE WATEULE GULAMALI, CHILOMBE WAPONGEZA UTARATIBU MZURI WA BUNGE

 Baadhi ya wabunge wateule kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Chilombe (Tunduru Kusini) na Hussein Gulamali (Ilongelo) wakielezea furaha waliyonayo baada ya kujisajili kuingia kwa mara ya kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 10, 2025.

Wameahidi kuanza mara moja utekelezaji wa ilani na ahadi walizozitoa wakati wa kampeni. Utekelezaji huo utafanywa kwa kushirikiana na wananchi na serikali kwa ujumla.



Fadhili Chilombe (Tunduru Kusini)
Hussein Gulamali (Ilongelo)




IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages