LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2025

MBUNGE MTEULE WA MOSHI VIJIJINI MAKOI, ANENA HAYA BUNGENI

Mbunge Mteule wa Moshi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Moris Makoi akielezea furaha aliyonayo baada ya kujisajili kuingia kwa mara ya kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 10, 2025.

Ameahidi kuanza mara moja kuanza utekelezaji wa ilani na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni kwa kushirikiana na wananchi na sefrikali kwa ujumla.





 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages