Jul 1, 2025

RC MWASSA AWATETEA WAHAYA, AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KAGERA


 

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajati Fatma Mwassa akianza kuelezea baadhi ya tabia za kabila la Wahaya alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai Mosi, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyofanywa mkoani humo na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Thadeus akihitimisha mkutano huo kwa kutoa pongezi kwa  RC Mwassa na wananchi wa mkoa huo kufanikisha maendeleo mkoani Kagera.

Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages