Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita akielezea mafanikio ya sekta ya mifugo mkoani humo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 14, 2025, kuhusu mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇