Mwandishi wa Habari, Ahmed Saggaf Ahmed akikabidhiwa fomu na Katibu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Sophia Kibaba kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Jimbo la Dodoma Mjini.
Saggaf amechukua fomu hizo leo na kuzirejesha.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇