Jun 28, 2025

MAVUNDE, KISALO NA MNDEE WACHUKUWA FOMU ZA UBUNGE DODOMA

Aliyekuwa Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (kulia) akikabidhiwa  fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba ya kuomba kuwania ubunge Jimbo jipya la Mtumba Juni 28, 2025 jijini Dodoma.
Mavunde akitia saini ishara ya kuchukua fomu hizo.

Samuel Kisalo  akikabidhiwa fomu za kuomba kuwania ubunge Jimbo la Dodoma Mjini.

Kisalo akionesha fomu hizo.

Jamila Mndee akichukua fomu hizo.


 

IMEANDALIWA NA 
RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages