Mshauri Mwandamizi Ofisi ya Rais, Dkt. Fabian Magawa Madele akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya Dodoma, Sophia Kibaba ya kuomba kuwania ubunge Jimbo la Dodoma Mjini Juni 28, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇