Briton Machange mkazi wa Kata ya Makulu Dodoma akipokea fomu kutoka kwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Mengi Mwakisole za kuomba kuwania udiwani Kata hiyo Juni 28, 2025.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇