May 10, 2025

WABUNGE WATAKA ITUNGWE SERA NA SHERIA YA AKILI MNEMBA

Wabunge wakifuatilia kwa makini mada kuhusu matumizi ya Akili Mnemba wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Omuka Hub, Women Political Leaders na GIZ jijini Dodoma Mei 10, 2025.
 

Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu (kushoto) akifundishwa na Mkurugenzi wa Tanzania AI Community, Essa Mohamedal jinsi ya kutumia Akili Mnemba wakati wa semina hiyo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Omuka Hub ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia NGOs, Neema Lugangira akielezea kuhusu lengo la semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa  Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth  Simbaya akielezea umuhimu wa Akili Mnemba na athari zake na mkakati wa taasisi hiyo kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini kuhusu matumizi sahihi ya AI.
Katibu wa Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Ganjatuni Kilemile.
Tatu Mzee Ally kutoka Ofisi ya Msajili wa Mashirika yasiyo ya KiserikaliWaizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu,


Wakijadiliana kwenye makundi.


Baadhi ya wabunge waliohudhuria mafunzo hayo.





 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
 BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Pages