May 7, 2025

RAIS HERSI, RAIS KARIA WAKUTANA BUNGENI DODOMA


 Rais wa Kalabu ya Yanga, Hersi Said (Kushoto) na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),  Karia Wallace (kulia) wakiwa eneo la wageni wa Spika bungeni Dodoma leo asubuhi Mei 7, 2025, wakisubiri kusikiliza mjadala makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa CLOUDS TV, Joseph Kusaga.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages