Apr 18, 2025

WAUMINI KANISA LA KARMELI WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

 Katibu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), akielezea kuhusu maandalizi ya sherehe ya kusimikwa  kwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dkt. Evance Chande zitakazo fanyika eneo la kanisa hilo Ipagala jijini Dodoma kesho Jumamosi Aprili 19, 2025. Maandalizi hayo yameenda sambamba na waumini kujitolea damu ya kusaidia wagonjwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.

Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.


Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wakichangia damu katika shughuli iliyofanyika katika Kanisa la KAG.
















 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages