Apr 9, 2025

MBUNGE NYANG'WALE ATISHIA KURUKA SARAKASI BUNGENI KUTAKA BARABARA YA LAMI


 Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale, Mhe. Hussein Nassor Amar ametishia kuruka sarakasi bungeni alipoihoji serikali kutaka kujua sababu inayokwamisha ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Kahama, Nyang'wale hadi Busisi'


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages