Apr 9, 2025

MAMBO YA BUNGENI DODOMA APRILI 9, 2025

 Wabunge wakiwa katika mkutano wa 10, Bunge la 12,  kikao cha pili cha Bunge la Bajeti bungeni Dodoma Aprili 9, 2025.


Wabunge wakiwa na furaha walipokuwa wakijadiliana jambo. Kutoka kushoto ni; Joseph Msukuma wa Geita Vijijini,  Mhandisi Leonard Chamuriho wa kuteuliwa ba Almas Maige wa Tabora Kaskazini.

Mbunge wa Gairo, Ahamad Shabiby (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika na Mbunge wa Mpanda Vijijini.
Mbunge wa Mbeya Vijijini ambaye pia Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza akibadilishana mawazo na baadhi ya wabunge.
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi akijadiliana jambo na Mbunge wa Kuteuliwa, Shukrani Manya.
Mbunge wa Nyang'wale, Nassor Amar (kulia) wakiangalia jambo kwenye kishikwambi.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt. John Pallangyo, akiuliza swali.

 Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. POatrick Ndakidemi akiuliza swali kuitaka serikali kuboresha baabara kuelea Mlima Kilimanjaro.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages