Apr 8, 2025

WENYEVITI WA KAMATI NJEZA, MWANYIKA WATETA BUNGENI

 Mwenyekiti wa Bunge,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika (kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Najeti, Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza siku ya kwanza ya Mkutano wa Bunge wa 19, Bunge la 12 la Bajeti bungeni Dodoma Aprili 8, 2025.








 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages