Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akipingana na kauli mbiu iliyoanzishwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ya No Reform, No Election kwamba inakiuka Katiba ya Nchi na kusababisha uasi. Pamoja na mambo mengine,Makamba ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2025/ 2026 bungeni Dodoma Aprili 10, 2025. Baada ya wabunge kufurahishwa na mchango wake huo waliamua kumtuza fedha papo kwa papo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇