Mar 27, 2025

RAIS DK. SAMIA APOKEA TAARIFA ZA CAG, TAKUKURU, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kutoka Charles Kichere kwenye hafla  iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Machi 27,  2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Crispin Chalamila kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Machi 27, 2025.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages