Mar 20, 2025

MWILI WA MKE WA KATIBU WA NEC, UCHUMI NA FEDHA CCM DK. HAWASSI, ULIVYOAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO😭

Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Frank Hawassi, akiaga mwili wa mkewe, Marehemu Damaris Simeon Hawassi, nyumbani kwake, Magomeni Jijini Dar es Salaam, leo, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Miuji Dodoma, kwa ajili ya kuagwa na kuzikwa
Waombolezaji wakiwa kwenye uagaji wa mwili wa maraeamu Damaris Simeon Hawassi. Kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu John Zefania Chiligati.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu (kulia) na MNEC wa mkoa huo Juma Simba Gaddafy wakiwa kwenye uagaji mwili wa Marehemu Damaris Simeon Hawassi.
Waombolezaji wakiwa katika kuaga mwili wa Marehemu Damaris Simeon Hawassi. Kulia ni Mjumbe wa NEC mstaafu Angelina Akilimali.
Mkurugenzi wa Uhuru FM ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Amina akiwa kwenye kuaga mwili wa maraeahem Marehemu Damaris Simeon Hawassi
Waombolezaji kutona Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM. Lumumba jijini Dar es Salaam wakishiriki kuaga.
Waombolezaji mbalimbali wakishiriki kuaga
Baadhi ya viongozi wa dini wakishiriki kuaga.
Katibu wa SUKI mstaafu Kanali Mstaafu Lubinga (kushoto) akizungumza na baadhi ya Waombolezaji. kulia ni Meya wa Manispaa ya  Kinondoni Songoro Mnyonge na Wapili kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya SUKI Jacqueline Liana.
Dk. Hawassi akimwelekeza jambo Mkuu wa Utawala Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Salehe Mhando.
Dk. Hawassi akimwelekeza jambo Mkuu wa Itifaki Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba.
Waombolezaji kutona Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM. Lumumba jijini Dar es Salaam wakishiriki pamoja na wengine kuaga.
Zakia Hamdan Meghji ambaye amewahi kuhudumu nafasi mbalimbali zikiwemo Uwaziri na Ukatibu wa NEC, Uchumi na Fedha makao makuu ya CCM, akisaini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kuaga mwili wa marehem Damaris Simeon Hawassi
Zakia Hamdan Meghji akijaribu kumchangamsha Dk. Hawassi wakati akimpa pole, baada ya kuwasili kuaga mwili wa marehem Damaris Simeon Hawassi.
Zakia Hamdan Meghji akiendelea kumfariji Dk. Hawassi.
Zakia Hamdan Meghji akiendelea kumfariji Dk. Hawassi.
"Pole sana, jipe moyo ni kazi ya Muumba", akasema Zakia Hamdan Meghji wakati akiendelea kumfariji Dk. Hawassi.
Dk. Hawassi akimtambulisha Zakia Meghji kwa ndugu zake wa karibu.
Zakia Hamdan Meghji akizungumza na Meya Songoro Mnyonge.
Zakia Hamdan Meghji akisalimiana kwa bashasha na Chiligati.
Jeneza lenye mwili wa maraeahem Damaris Simeon Hawassi likishushwa baada ya kuwasili.
Vijana wa UVCCM wakibeba jeneza kwenda eneo la kuagaia
Dk. Hawassi akiwa amesimama na waombolezaji viongozi kulaki wakati mwili wa mararemu Damaris Simeon Hawassi ukiwasili.
Waombolezaji wakiwa amesimama na waombolezaji viongozi kulaki wakati mwili wa marahemu Damaris Simeon Hawassi ukiwasili.
Mwanafamilia Lilian Timbuka akisoma wasifu wa marehem Damaris Simeon Hawassi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule akitoa salam za rambirambi kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule akimkabidhi Dk. Hawassi, rambirambi ya mkoa wa Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah akitoa salam za Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, alipotoa salam kwa niaba ya Chama.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah akiaga mwili wa marahemu Damaris Simeon Hawassi.
Dk. Hawassi akiaga mwili wa mkewe maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Dk. Hawassi akiaga mwili wa mkewe maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda akiaga mwili maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Viongozi mbalimbali wakiaga mwili maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Zakia Meghji akiaga mwili maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Hawa Ghasia na kanali mstaafu Lubinga wakiaga mwili maraeahemu Damaris Simeon Hawassi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM wakiaga mwili marehemu Damaris Simeon Hawassi. Mbele ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Umma, Idara ya Itikadi na Uenezi Aboubakary Liongo na nyuma ni Mkuu wa Utawala Salehe Mhando.
Baadhi ya wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM wakiaga mwili marehemu Damaris Simeon Hawassi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM wakiaga mwili marehemu Damaris Simeon Hawassi. Kulia ni Rose Mbwali.
Picha ya Marehem Damaris Simeon Hawassi😭😭😭.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages