Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kuwa ukusanyaji wa mapato kwa mwaka uliopita umevunja rekodi na kwamba watanzania wengi wanaitikia kulipa kodi kwa hiari.
"Ashakumu si Matusi, tabia ya kutolipa kodi ni ushamba na ulipaji kodi ni ujanja,"amesema hayo Gerson Msigwa alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yaliyotekelezwa na serikali katika katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Dodoma Januari 25, 2025.
Msigwa akisisitiza jambio wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wakiwa katika mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇